Saturday, 17 September 2016

MCHEPUKO SIYO DILI

DADA WA KAZI ANATAKA KUONGEZEWA MSHAHARA House girl alitaka kuongezewa mshahara, lakini mama mwenye nyumba akataka apewa sababu 3 za house girl kutaka kuongezewa mshahara: DADA: Ninaweza kupika zaid yako. MAMA: nani kakwambia? DADA: kaniambia mume wako. MAMA: sababu ya pili? DADA: Ninapiga pasi nguo zinanyooka vizuri kuliko wewe. MAMA: Nani kakwambia? DADA: Mume wako. MAMA: Sababu ya tatu? DADA: Nakuzidi kwa utundu kitandani. MAMA (akiwa na jazba la kumpasua): Niambie mume wangu ndo kakwambia au? DADA: Hapana, ni dereva wako ndo aliniambia nimekuzidi kwa utundu kitandani. MAMA: ooooh punguza sauti mwanangu nakuongezea mshahara wako tena mara mbili. Kumbe mama naeeee jipuuuuuuuu hahahahaaaa😘🕵😀😀😋Tno😋

No comments:

Post a Comment

Show your comments here

SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA

Popular Posts