Saturday, 17 September 2016

MIMI SIJUI

Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia ndani kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka. Akaonja kamoja akaona katamu na kana chumvi! Akavila vyote. Alipo maliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa, "CHUMBA CHA UKEKETAJI". Kwa utaalamu wako unafikiri atakuwa amekula nini? 🌚🌚🌚

No comments:

Post a Comment

Show your comments here

SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA

Popular Posts