Saturday, 17 September 2016

TUCHEKE PAMOJA

````Ticha: Wa kwanza kujibu swali langu ataenda Home mapema..John kusikia hivyo....Karusha begi la daftari nje.....``` *```Ticha akauliza: Nani karusha begi nje!?!```* ```John: Mimi..... Kwa herii Mwalimu......``` 😂😂,,,,,,,,,,,,,😂😂 *```John Mungu anakuona```*

No comments:

Post a Comment

Show your comments here

SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA

Popular Posts