Monday, 19 September 2016

ACHA HUJUMA

Mdada alienda super-market kununua kuku, bahati mbaya kwenye frij kulikuwa na kuku mmoja tu, muuzaji akamtoa akamuweka kwenye mzani, akaonekana ana kilo moja na robo. Mdada akamuuliza muuzaji,’Huna mkubwa zaidi?’ Muuzaji akamchukua yule kuku na kujifanya kamrudisha kwenye friji, halafu akamtoa tena kwenye friji na kumrudisha kwenye mzani, safari hii akagandamiza mzani kwa gumba, kuku akaonekana ana kilo mbili. Mdada akasema ‘Duh afadhali huyu mkubwa kidogo, naomba unifungie nawachukua wote wawili’ 😳😳😳😳😳😳😳😳Hapo ndipo utagundua kwa nini UKAWA waliyaita Yale maandamano jina la UKUTA ! 😊😊😊😊😊

No comments:

Post a Comment

Show your comments here

SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA

Popular Posts