Monday, 19 September 2016
Ni MITAZAMO TU
MAMBO 10 YA KUFANYA KABLA HUJAFIKA MIAKA 28!
1. Jifunze kuweka akiba ya fedha
2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye
3. Acha kuishi na wazai au kupanga nyumba na washikaji
4. Achana na starehe zisizo na maana
5. Jali sana afya yako
6. Kuwa na marafiki wenye changamoto za maendeleo
7. Anza kununua asset kama vile ardhi, kitanda, vyombo vya nyumbani n.k
8. Jifunze kuvaa kwa heshima na si tu suala la kupendeza
9. Acha mambo ya kitoto
10. Zingatia sana muda wako
COMMENT namba uliyoipenda hapo juu zaidi kisha SHARE UJUMBE HUU na marafiki zako.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Show your comments here