Monday, 19 September 2016

NI KUKOMOANA AU?

*ACHA MASWALI YA KIJINGA* *MKE*: Mbona unanukia pafyumu ya kike? *MUME*: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala *MKE*: Na lipstiki kwenye shati? *MUME*: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi yetu *MKE*: Na ile kondom iliyotumika kwenye mfuko wa suruali? *MUME*: Bwana ee acha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi *MKE*: Lazima niulize mie huwa nahakikisha nimeacha kila kitu hukohuko ndio narudi nyumbani *MUME*: Umesema nini wewe? *MKE*: Bwana ee acha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi. 😄😄

No comments:

Post a Comment

Show your comments here

SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA

Popular Posts