Wednesday 14 December 2016

Kamati haitaki ujinga

πŸ‘‡πŸΎ Jamaa mmoja alialikwa kwenye *harusi*. Akafika mlango Wa 1 umeandikwa kulia ni ndugu Wa maharusi, kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yeye alialikwa. Akakuta mlango wa2 umeandikwa kulia wenye zawadi kushoto wasionazawadi yeye hakuwa na zawadi kwa hiyo akaenda kushoto.Akakuta Mlango Wa 3 umeandikwa kulia wanaume kushoto wanawake akapita kulia akajikuta ametokea _mtaani_ *Kamati haitaki ujinga* πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ˆ

No comments:

Post a Comment

Show your comments here

SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA

Popular Posts