Saturday 12 November 2016
Watu wamatumisemo, ona baadhi yake
WATU WANA TUMISEMO
1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi
kumpa mwanamke mimba nusu.
2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda
kwa miguu.
3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi
mishahara?
4. Ukichanganya wali na choroko unapata
mseto, lakini hautibu malaria.
5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi
kuwa spika wa Bunge.
6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi
kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.
7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa
kukatika.
8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati
unatongoza.
9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali
wakati unafanya mapenzi.
10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi
kufunika sufuria.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA
Popular Posts
-
INTRODUCTION This work has contain four parts which are introduction that consist of meaning of the key terms, historical background of Leop...
-
Question: Discuss the role of Delegated Legislation in ensuring smooth administrative functions in Tanzania. 1.0 Introduction This work is...
-
INTRODUCTION. This document contains the definition of key terms which are natural justice, principle of natural justice andadministrative t...
-
COMMUNICATION AND INFORMATION SYSTEMS COMMUNICATION It is obvious fact that communication is such vital part of each of us that it contribut...
No comments:
Post a Comment
Show your comments here