Sunday, 23 October 2016

Jamaa na binamu ake

Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake.... Alikuwa anasubiri mjomba na mkewe walale tu halafu ananyata mdogo mdogo mpaka chumbani kwa binamu yake. Siku moja umeme ulikuwa umekatika ikabidi aamue kuvua nguo kabisachumbani kwake.... Akanyata taratibua akafungua mlango akazama chumbani kwa mjomba ake bila kujua, ghafla umeme ukarudi... MJOMBA; we mshenzi umefata nini chumbani kwangu tena uko uchi JAMAA; nimekuja kukuaga kesho naondoka MJOMBA; ndo uje uchi? JAMAA; ndio kwasababu nimeshapaki kila kitu kwenye begi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

No comments:

Post a Comment

Show your comments here

SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA

Popular Posts