Sunday, 23 October 2016
Virefu vya majina ya vijiji vyetu Kilimanjaro
WELCOME TO K'NJARO OUR HOMELAND! Angalia virefu vya majina ya vijiji vyetu.
MOSHI=Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo;
ROMBO=Ruhusu Ongezeko la Mapesa Bila Ombaomba;
HIMO=Hata Ikipungua Mungu Ongeza;
MARANGU=Mungu Angalia Raia Ngawira Utuhakikishie;
MAMBA=Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira;
MWIKA=Mungu Wekeza Ishara Kwenye Akaunti;
URU=Usitunyime Riziki Uchumi;
KIBOSHO=Kila Ikipungua Baba Ondoa Siasa Hela Ongeza;
MACHAME=Mungu Atupe Chanzo Halisi na Ambacho
Mapesa ni Endelevu na
KISHIMUNDU=Kwetu Ikikosekana Shilingi Mungu Nakuapia Dunia Utaichukia! Rusha sms hii kwa wachagga wote *waambie tunasaka mahela na hatupendi ujinga sisi*😎😎😎
Labels:
MAKALA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA
Popular Posts
-
INTRODUCTION This work has contain four parts which are introduction that consist of meaning of the key terms, historical background of Leop...
-
Question: Discuss the role of Delegated Legislation in ensuring smooth administrative functions in Tanzania. 1.0 Introduction This work is...
-
INTRODUCTION. This document contains the definition of key terms which are natural justice, principle of natural justice andadministrative t...
-
COMMUNICATION AND INFORMATION SYSTEMS COMMUNICATION It is obvious fact that communication is such vital part of each of us that it contribut...
No comments:
Post a Comment
Show your comments here