Sunday, 23 October 2016
Simi imepokelewa na mwanamke
Mama alichukuwa simu akampa mwanawe.
Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari. (Mtoto akachukuwa na kupiga)
Mtoto...Mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke. (Mama kwa hasira) Akirud atanitambua leo. (Baada ya muda kidogo baba akarud,kufika mlangon tu kapokewa na sufuria ya kichwa. Hajakaa vzur mwiko wa pua)
Mama..Mwanangu ulipopiga simu ya babako mwanamke wake alisemaje??
Mtoto..Alisema mteja unaempigia hapatikan kwa sasa.....
Hadithi Hii Inafundisha Watu Wasipende Ujinga๐๐๐๐๐
Labels:
VICHEKESHO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA
Popular Posts
-
INTRODUCTION This work has contain four parts which are introduction that consist of meaning of the key terms, historical background of Leop...
-
Question: Discuss the role of Delegated Legislation in ensuring smooth administrative functions in Tanzania. 1.0 Introduction This work is...
-
INTRODUCTION. This document contains the definition of key terms which are natural justice, principle of natural justice andadministrative t...
-
COMMUNICATION AND INFORMATION SYSTEMS COMMUNICATION It is obvious fact that communication is such vital part of each of us that it contribut...
No comments:
Post a Comment
Show your comments here