Saturday 1 October 2016
Mtanzania, Mkenya na Mganda walikamatwa China kwa kukosa vibalì, wakaambiwa wachague adhabu ya kifo au kwenda porini kuleta matunda kumi ya aina moja kila mmoja;
Mganda akaleta machungwa akaambiwa ameze moja moja hadi yaishe bila kufumba macho, kucheka, wala kulia; akameza moja akaanza kulia, akapigwa risasi.
Baada ya muda Mkenya akaja na zabibu akameza alipofika ya tisa akacheka, akauliwa.
Walipofika kuzimu Mganda akamuulza Mkenya, ulishindwa nini wakati matunda yako madogo? Mkenya akajibu: 'Nilicheka kwa sababu Mtanzania yuko njianì anakuja na matikiti. USICHEKE MAANA NA MM SIPENDAGI UJINGA like father like son
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA
Popular Posts
-
INTRODUCTION This work has contain four parts which are introduction that consist of meaning of the key terms, historical background of Leop...
-
Question: Discuss the role of Delegated Legislation in ensuring smooth administrative functions in Tanzania. 1.0 Introduction This work is...
-
INTRODUCTION. This document contains the definition of key terms which are natural justice, principle of natural justice andadministrative t...
-
COMMUNICATION AND INFORMATION SYSTEMS COMMUNICATION It is obvious fact that communication is such vital part of each of us that it contribut...
No comments:
Post a Comment
Show your comments here