Sunday, 23 October 2016

Manka baada ya kubatizwa

Manka alienda kanisani kubatizwa alipotoka kwenye maji padri akamwambia “Sasa ewe ni kiumbe kipya,usinywe tena pombe na utaitwa Prudence”. Alipofika nyumbani Prudence akafungua friji akatoa bia ya Tusker akaitumbukiza kwenye maji akasema “Wewe ni kiumbe kipya toka sasa jina lako ni Fanta Orange”... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Manka hapendag ujinga yeye๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ

No comments:

Post a Comment

Show your comments here

SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA

Popular Posts