Unaomba namba ya simu ya mdada af anakunyima ila unalazimisha akupe anaona kuliko muendelee kuongea bora tu akupe anakutajia 0719092016 unafuraahi unaondoka
unafika nyumbani unajaribu kuipiga but kabla hujapiga unagundua alikutajia tarehe ya leo
*Nyie wadada wa aina hyo mnaonwa*
😝😝😝😝🏃🏃🏃🏃
No comments:
Post a Comment
Show your comments here