Saturday, 1 October 2016
*GARI LA TAKA: PUNGA MKONO AGANA NAO*
Siku moja nilichukua Tax na nilikuwa naelekea airport driver akiendesha kwa ustaarabu sana mara Ghafla pasipo tegemea Gari ya taka ikajitokeza mbele yetu toka ilipopaki DRIVER kwa umakini na NEEMA ya Mungu akalikwepa,na ilibaki kidogo agonge gari zingine mbele yetu. *PASIPO KUTEGEMEA DRIVER WA GARI LA TAKA AKAANZA KUFOKA NA KUPIGA KELELE HOPE UNAWAJUA WALE WATU!!*
lakini driver alitabasamu na kuwapungia mkono nilishangaa sana na Kuumuliza inakuwaje ufanye hivyo wakat walitaka kutuua na hata kuharibu mali yako❓
*AKAJIBU KWA UPOLE AKINITAZAMA KWA TABASAM*😊
Akasema katika maisha yetu ,kuna watu wako kama gari la taka,wamejaa Stress,msongo,Hasira, maumivu,wamechoka kifikra,kiuchumi na kimaisha ,Masikitiko mengi,
*SASA TAKATAKA ZAO ZINAZOPOWAZIDI HUTAFUTA MAHALI PA KUTUPA HAIJALISHI MAZINGIRA NA WATAKUTUPIA WEWE*
Hivyo jfunze kutogombana nao
Wapungie mkono, wape tabasamu songa mbele, haikupunguzii kitu kama haijakuumiza, usiruhusu wakupate na takakaka zao,
HATA WEWE UMEKUTANA NAO WENGI,UNAPOTEZA MUDA WAKO,kuna wengine wanakulaani sana,kuna watu wanakusema mabaya na kukulaani wakati hufanyi ubaya ?
Leo wapungie mkono na kumbuka neno hili
Mith 26.2
*" 2 Kama shomoro katika kutanga-tanga kwake,Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake;Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu.*
PUNGA MKONO/WAVE YOUR HAND
YES JUST SMILE AND WAVE YOUR HAND TO THEM,DON'T ALLOW GARBAGE NEAR YOU
WAVE NOW WAVE TODAY
*MAISHA HAYA ULIUMBWA KUFURAHIA,USIYAFUPISHE KWA KUAMKA ASBH.NA KINYONGO,NA HASIRA,NA GHADHABU SABABU YA MTU,*
SIKIA
1.WAPENDE NA WAFURAHIE WOTE WANAOKUTENDEA MEMA
2.WAOMBEE WOTE WANAOKUTENDEA MABAYA,wanaotaka kujaza taka na kuzimwa kwako
KAMATA HII
*LIFE IS 10% WHAT U MAKE IT* and and and
*90% HOW U TAKE IT*
*JIFUNZE KUJIFUNZA KUYACHUKULIA MAISHA KULIKO VILE UNAYATENGENEZA*by
*HAVE GARBAGE FREE LIFE*
*WITH LOT OF LOVE,WISH AND PRAYER PROSPERITY*
Labels:
MAKALA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA
Popular Posts
-
INTRODUCTION This work has contain four parts which are introduction that consist of meaning of the key terms, historical background of Leop...
-
Question: Discuss the role of Delegated Legislation in ensuring smooth administrative functions in Tanzania. 1.0 Introduction This work is...
-
INTRODUCTION. This document contains the definition of key terms which are natural justice, principle of natural justice andadministrative t...
-
COMMUNICATION AND INFORMATION SYSTEMS COMMUNICATION It is obvious fact that communication is such vital part of each of us that it contribut...
No comments:
Post a Comment
Show your comments here