Wednesday, 21 September 2016

Mwalimu alikiona cha moto

*Looku Looku* πŸ‘€πŸ‘€ *Ama Kweli Mkuki Kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu Skia Hii....!!* *Ishawahi kutokea Pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyekufundisha MATHS secondary afu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda sehemu fulani.* *_Nenda mbele kama 2KM hivi kisha kata kushoto,ila hakikisha ANGLE inakuwa ni 30.5 KUSINI MASHARIKI.Kisha tumia PYTHAGORAS na hakikisha una FOUR FIGURE ili kupata thamani ya ANGLE._* *Mwalimu alisonya na kuondoka.*πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜’πŸ˜’ *Stakagi ujinga kabisa mimi, wakati ananichapa alifikiri sifa*πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜…πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½ *Mniache Tuu Mimi Sio Kwa Bifu Ilo Aiseee*πŸƒπŸΎ

No comments:

Post a Comment

Show your comments here

SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA

Popular Posts