Tuesday, 27 September 2016

Majina ya Girls na sifa zao

MAJINA YA GIRLS NA SIFA ZAO KWENYE MAPENZI 1.Nancy - Muongo 2.Julieth - Kicheche 3.Mary- Anapenda mwanaume kwa kitambo kirefu 4.Precious - Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza 5.Hellen - Ana busara anapozungumza na mpenzi wake 6.Rose- Anapenda mwanaume mwenye pesa 7.Eunice - Hapendi ndugu wa mume wakr 8. Agness- Ana upendo wa dhati na Akipenda kapenda 9.Pauline - Hana vigezo vya mwanaume anayemtaka 10.Catherine- Mbinafsi ktk mapenzi,anajijali pekee kuliko mpenzi wake 11.Mariam - Anapenda kuwa rafiki na mpenzi wake 12. Loveness - Akitendwa anachukia mapenzi kwa muda mrefu 13.Monica - Anajivunia mpenzi wake popote 14.Mellisa - Hapendi kuonyesha huzuni kwa mpenzi wake hta kama amekereka 15.Elizabeth - Hapendi kujihusisha na mahusiano 16.Emmy - mtaalamu wa kutongozea marafiki zao(kuwadi) 17.Frida - Anapenda sifa kwa wanaume 18.Theresa - Mvumilivu ktk mapenzi 19.Eve - Hana mwanaume maalum, 20.Hilda - Muumiza mioyo ya wanaume wengi 21.Jackline - Ni mlipiza visasi 22.Lydia - Anampenda mtu ili apate/Afanikiwe kitu flani(Malawi binafc) 23.Carol - Ni Muongo kupitiliza na still anaaminika 24.Josephine - Hataki mpenzi but anataka mume 25.Grace - Anapendwa na wanaume wengi japo hataki hata mmoja katika hao wengi 26.Anna - Anaishia kwenye sogea tuishi bila ndoa 27.Beatrice - Ana maringo mpaka wanaume wanamuogopa 28.Rehema - Anapenda waume za watu 29.Brenda - Akipenda anapenda kufa 30.Diana - Amezubaa anaweza hata kuibiwa mpenzi wake na anaangalia tu 31.Ruth- Ni msaliti kwenye mahusiano 32. Jane - Ni mapepe kwa nje lakini akiwa na mpenzi wake ni mpole 32.Rachel - Ni mwepesi kuachana na mwanaume hata kwa kosa dogo tu 33. Neema - Akiachwa mara moja anakata tamaa ya kuolewa 34. Aneth - Hana maamuzi sahihi kwenye mahusiano yake 35.Esther- Anaamini kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni dhambi 36.Violeth - Mkorofi 37.Sylvia - Mkimya sana awapo na mpenzi wake 38.Christine - Hajali chochote kinachoendelea kwenye mahusiano yake 39.Doreen - Ana aibu sana kwenye mapenzi 40.Magreth - Anapenda sana ila anaumizwa sana pia.

No comments:

Post a Comment

Show your comments here

SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA

Popular Posts