Tuesday, 27 September 2016

Ctaki ujinga mm

. NIMECHEKA TU PEKE YANGU Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si akakuta mchepuko wake, MKE: Unataka nini we mpumbavu? MUME: Nani huyo unamtukana? MKE: Kuna mtu hapa anakichwa kama nenda urudi badae MCHEPUKO:Nawewe pua kama poa MKE:Miguu kama masaa mawili MCHEPUKO:Masikio kama sichelewi MKE: Ondoka hapa mjinga we. …… Akafunga mlango MUME: mwambie ana macho kama sitoki leo ng'oo SIPENDI UJINGA MM nikiwa na my love pr

No comments:

Post a Comment

Show your comments here

SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA

Popular Posts