Tuesday, 20 September 2016

Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo

Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga. Binti wa Kizungu: *Baby you look nice and fresh.* Binti wa Kibongo: *Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu* 😆😆😆😆

No comments:

Post a Comment

Show your comments here

SHARE KWA MARAFIKI ZAKO HAPA

Popular Posts